All Category

Aiwa Home Theater 500W

In Stock (10)

TSh 450,000

TSh 500,000

Aiwa Home Theater 500W yenye sauti kubwa, bass nzito na muonekano wa kisasa kwa burudani ya nyumbani.

Quantity:
In Stock (10)
Guaranteed Safe Checkout
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
Furahia sound ya nguvu ukiwa nyumbani na Aiwa Home Theater 500W. Hii ni home theater inayokupa sauti safi, bass nzito na experience nzuri kwa kuangalia movie, kusikiliza music, kucheza games au kuangalia mpira.

Inafaa kwa matumizi ya sebule, chumbani au sehemu yoyote ya burudani nyumbani. Kama unahitaji sound system yenye nguvu, muonekano mzuri na performance ya kuaminika, Aiwa Home Theater 500W ni chaguo zuri kwa matumizi yako ya kila siku.

Key Features:
✅ 500W Sound Output
✅ Sauti kubwa na safi
✅ Bass nzito kwa movie na music
✅ Inafaa kwa TV, projector na matumizi ya nyumbani
✅ Nzuri kwa movie, music, games na mpira
✅ Muonekano wa kisasa unaopendeza sebuleni
✅ Rahisi kutumia kwa matumizi ya kila siku
✅ Home entertainment system yenye nguvu

Package Includes:
Aiwa Home Theater 500W + Accessories
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital
35 Products
Share:
Seller's Products