Furahia sound ya nguvu ukiwa nyumbani na AIWA Soundbar 250W 6035. Imetengenezwa kukupa sauti safi, bass nzuri na experience bora unapokuwa unaangalia movie, kusikiliza music, kucheza games au kuangalia mpira.
Soundbar hii ina design ya kisasa inayopendeza kwenye sebule, chumbani au sehemu yoyote ya entertainment. Inafaa kuunganishwa na TV, projector, laptop au simu kwa matumizi rahisi ya kila siku.
Key Features:
✅ 250W Sound Output
✅ Sauti safi na yenye nguvu
✅ Bass nzuri kwa movie na music
✅ Bluetooth Connection
✅ USB / AUX Support
✅ Remote Control
✅ Design ya kisasa na yenye mvuto
✅ Inafaa kwa TV, projector, simu na laptop
✅ Nzuri kwa movie, music, games na mpira
Package Includes:
AIWA Soundbar + Remote Control + Accessories