All Category

Aiwa Sound Bar SB6505 300W

In Stock (50)

TSh 280,000

TSh 320,000

Soundbar kali ya AIWA yenye 300W, 4.1CH Stereo Sound na Wireless Subwoofer kwa bass nzito na sauti safi nyumbani.

Quantity:
In Stock (50)
Guaranteed Safe Checkout
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
Badilisha sebule yako kuwa kama cinema na AIWA SB6505 Soundbar yenye nguvu ya 300W Max Output Power pamoja na Wireless Subwoofer inayotoa bass nzito na sauti yenye ubora.

Inafaa kwa kuangalia movie, kusikiliza music, kucheza games na kuangalia mpira kwa sound ya nguvu. Unaweza kuunganisha kwenye TV, projector, laptop au simu kupitia Bluetooth, HDMI ARC, USB, AUX, Optical na FM Radio.

Key Features:
✅ 300W Max Output Power
✅ 4.1CH Stereo Sound
✅ Wireless Subwoofer
✅ Dynamic Bass
✅ Bluetooth Connection
✅ HDMI ARC Support
✅ USB / AUX / Optical Input
✅ FM Radio
✅ Remote Control
✅ Digital Display
✅ Design ya kisasa kwa sebule au chumbani

Package Includes:
Soundbar + Wireless Subwoofer + Remote Control + Accessories
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital
35 Products
Share:
Seller's Products